.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

JAMBAZI APIGWA RISASI YA KICHWA WENGINE WAKIMBIA BAADA YA KUIBA

Jeshi la Polisi kikosi cha kupambana na majambazi kimefanikiwa kumua mmoja kati ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi mara baada ya kurushiana risasi na polisi eneo la SUKITA jijini Dar es salaam

 Tukio hilo limetokea jumatatu saa tano asubuhi maeneo ya SUKITA na taarifa kutoka eneo hili lina sema kwamba watu hao wanadaiwa kupora kiasi kikubwa cha pesa katika duka moja la jumla na reja reja eneo la vingunguti jijini Da es salaam
http://i2.wp.com/www.majangatupu.com/wp-content/uploads/2013/09/jambazi-lauawa-Dar.jpg
Taarifa zinasema majambazi hayo yalikua manne na walikua wanatumia usafiri wa piki piki ..mara baada ya kupora pesa hizo wananchi waliwazingira na ndipo mmoja wao alipo toa pesa hizo na kuzirusha hewa na hapo ndipo wapipo pata mwanya wa kutoroka eneo la tukio

Hata hivyo taarifa ziliwafikia Polisi ambao walikua Doria na  polisi hao walipewa taarifa kwamba wanaelekea SUKITA ndipo walipo waekea mtego na kuwanasa katika harakati za kutoroka walikua wana wapiga risasi polisi ndipo hapo mmoja wao akapigwa risasi ya kichwa na kufariki papo papo...ila wengi walipotelea pasipo julikana


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad