![](http://2.bp.blogspot.com/-ruPt7D6Au8M/UkPfbqze7HI/AAAAAAAACxc/e79oOALCapI/s640/AJALI+MBAYA+TABORA.jpg)
wa Isevya manispaa ya Tabora ambaye amepoteza maisha baada ya Lori
walilokuwa wamepanda kuanguka eneo la Inala barabara ya kwenda
Kigwa,Polisi wamesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva
ambaye amekimbia huku watu wengine wanne wakiwa wamejeruhiwa vibaya
ambao wamelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kitete
0 comments :
Post a Comment