.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

TUPOGO NIGHT ILIVYO BAMBA NDANI YA CLUB BILCANAS


Mwanamuziki Omary Faraji Nyembo 'Ommy Dimpoz' akiimba na mashabiki wake ndani ya Bilicanas Club.
Ommy Dimpoz akicheza na mmoja wa mashabiki aliyepanda stejini katika usiku wa Tupogo ndani ya Bilicanas Club usiku wa kuamkia leo.
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Martins Okey Justice 'J Martins' akipagawisha katika usiku wa Tupogo.
Mwanamuziki Ambwene Yessaya 'AY' akiupamba usiku wa Tupogo.
Msanii Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' akiwapa raha wapenzi wa burudani ndani ya Bilicanas Club.
Prezidaa wa Bendi ya Akudo Impact, Chrstian Bella akizikonga nyoyo za mashabiki.
Sehemu ya nyomi iliyohudhuria usiku wa Tupogo.
Wacheza shoo wa Ommy Dimpoz wakifanya mambo stejini.
Alawi Junior akifanya yake stejini.
Warembo wakijiachia.
Jacqueline Wolper akiwa katika pozi.
Steve Nyerere katika pozi.
Chid Benz na wadau katika pozi.
Ommy Dimpoz katika pozi na wacheza shoo wake pamoja na wadau.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad