WATANO WAINGIA 15 BORA MISS TANZANIA 2013
Warembo
watano waliofanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya Redd’s Miss
Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana. Kutoka kushoto ni Miss
Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent
2013, Prisca Clement, Miss Tanzania Personality, Severina Lwinga, Miss
Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface na Miss Tanzania Sports
Woman, Clara Bayo.
No comments:
Post a Comment