Cecafa imefuta nia ya kuileta Ivory Coast kwenye kombe la Chalenji kwavile imegundua itawagharimu zaidi ya milioni 40 kuitunza timu hiyo kwa wiki mbili jijini Nairobi. Badala yake Zambia na Malawi ndiyo timu waalikwa pekee kwenye mashindano hayo yanayoanza Novemba 27 hadi Desemba 12.
CECAFA YASHINDWA KUILETA IVORY COAST KWASABABU YA PESA NYINGI ZA KUIGHARIMU
Cecafa imefuta nia ya kuileta Ivory Coast kwenye kombe la Chalenji kwavile imegundua itawagharimu zaidi ya milioni 40 kuitunza timu hiyo kwa wiki mbili jijini Nairobi. Badala yake Zambia na Malawi ndiyo timu waalikwa pekee kwenye mashindano hayo yanayoanza Novemba 27 hadi Desemba 12.
0 comments :
Post a Comment