.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

DANCERS WA SUMA LEE WASHINDA PESA TASLIMU HUKO KENYA KWENYE MASHINDANO

Dancers Wa msanii Suma Lee wanaounda kundi la Wapi Wapi Dancers kutoka Tanzania wameshinda mashindano ya Dance nchini Kenya yaliyoandaliwa na Kampuni ya Simu Ya Orange. Mashindano haya yanaitwa Beat Ya Street na Pamoja na Ushindi huu pia Kundi hilo limeshinda pesa taslim milioni 5. Kwa sasa kundi hilo la Wapi Wapi linafanya kazi na vijana wengine watano kutoka Kenya. #HongeraTanzania


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad