.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

LINEX ATEGEMEA KUFANYA COLLABO NA EMPIRE ISIS PAMOJA NA WIZ KID

 l
Msanii Linex anategemea kufanya kazi na  Msanii kutoka Jamaica Empire ISIS na msanii chipukizi mkali kutoka Nigeria Wiz Kid , Linex amesema alifahamiana na mwana dada huyo kutoka Jamaica Empire ISIS kupitia mtandaoni yani internet na wamekua wakibadilishana mawazo na kazi zao wanazozifanya na kufikia hatua ya kuamua kutaka kufanya kazi ya pamoja na mwana dada huyo kutoka Jamaica kwa ajili ya kutanua kazi yake ya mziki na pia kutanua kazi ya Linex katika soko la kidunia, Akiongeza Linex amesema pia Wiz Kid atakuwa katika kazi hio mpya  ambayo itafanyikia Empress Gangstress … Kwa habari zaidi sikiliza interview ya Linex aliyofanya
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad