MBWANA SAMATTA NDIO ALIKUA CAPTAIN WA TIMU HIO KATIKA MECHI YA JANA YA SUPER CUP CONGO...HUKU THOMAS ULIMWENGU NDIO ALIKUA MCHEZAJI WA KWANZA KUFUNGUA MLANGO WA MAGOLI NA PIA MBWANA SAMATTA NDO ALIKUA MCHEZAJI WA MWISHO KUIFUNGIA TP MAZEMBE GOLI......
MBWANA SAMATTA ANAVAA JEZI NAMBA 15 HUKU THOMAS ULIMWENGU JEZI NAMBA 28...
KATIKA MECHI HII THOMAS ULIMWENGI NA MBWANA SAMATTA WOTE WALIANZA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA CHA MECHI HII.....
0 comments :
Post a Comment