Watu 89 wamepoteza maisha , wanawake 31 na watoto 17 inasemekana wameuwawa baada ya kundi la watu kuwakanyaga katika sherehe kwenye matemple huko India
watu hao walikanyagwa baada ya watu kuanza kusema yakwamba daraja walilokua wakivuka mda huo lilikua linaanza kuanguka ndipo purukushani ikaanza na watu hao 89 kupoteza maisha baada ya kukanyagwa na wenzao
0 comments :
Post a Comment