- ovember 6, 2013 at 9:46 PMninachoelewa funzo kwa mtu asiyahudhuria misiba ya wenzie sio kumsusia msiba ila ni kwenda kwa wingi km aliyefiwa ana akili timamu atawaelewa tu hata bila kusemeshwa na njia nyingine ya kumrekebisha ni kwa mazungumzo sku hyo hiyo ya msiba,pole Wema ila naamini umepata funzo japo wenzio hawajatumia njia sahihiReply
- AnonymousNovember 7, 2013 at 12:22 AMBongo movie hv ilikuaje mkampa ray uongozi...? Hana elim c ya darasani tu hata elim dunia hana....talent ndo mavi matupu the guy hajui kuigiza totally kazi ni kupiga kelele tu,then mkampa uongozi...oneni anakowapeleka....leo hii jamii yote inawashangaa kwa mlicho kfanya,aibu yenu or yake...? Huyu jamaa matako kabisa..Reply
- AnonymousNovember 7, 2013 at 12:39 AMUkosefu wa elimu ni kitu kibaya mno!Hiyo sio njia ya kumfanya agundue kosa lake hata kama ni kweli haendi kwenye misiba ya wengine.Uongozi anatakiwa apewe mtu ambaye ana upeo mkubwa wa kufikiri na kufanya maamuzi,kwa hapo Ray umechemka!Jirekebishe hatuishi hivyo!Reply
- AnonymousNovember 7, 2013 at 2:27 AMKumbe Ray ni Bomu kabisa; ndiyo maana hata wakati wa msiba wa Kanumba alikuwa akiongea pumba tupu kwenye TV. Swala la kwenda msibani ni uamauzi wa mtu binafsi, siyo uamuzi wa chama au kilabu. Kama kiongozi mwenye busara atazuiaje watu binasfi wasiende misibani? Kama alikuwa hataki kilabu yao ishiriki basi angefanya hivyo kwa kukaa kimya na kutokuwa na representatio ya kilabu hiyo, lakini akawaacha wanachama wake kila mtu kivyake vyake. Hivi yeye anataka Bongo muvi itawale maamuazi binafsi ya wanachama wake pia?Reply
- AnonymousNovember 7, 2013 at 2:44 AMIla wasanii mnatabia mbaya cz dawa ya mtu asiehudhuria misiba ya wenziie ni kutozwa fain na co vinginevyo hta katika jamii ndo kinafanyika ichoReply
- AnonymousNovember 7, 2013 at 4:15 AMhuyo Ray angeshuhulikia afya yake kwanza n akutubia katika siku zake zilizobaki duniani kwa magonjwa sugu alokuwa nalo lakini bado ndo kwanza nalaanika na dunia. mi nilidhani kauli hiyo ilitoka kwa mwanamke kama uwoya kukataza watu wasiende msibani kumbe dume zimaaa lina safura kama anaeingia kwenye siku zake vile na yeyeReply
.

.
shop now
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)