.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HII NDO LIST YA MATAJRI 50 AFRIKA,WATANZANIA NDANI...JUA NI KINA NANI ?BOFYA HAPA

dangote
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na vyanzo vya pesa zao,umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki. List imekuwa topped na mnigeria Aliko Dangote(kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja, nae si mwingine ni Rostam Azizi. Wabongo wengine ni Reginald Mengi aliyeshika namba 34, kisha Bakhresa aliyeshika namba 38 ambaye wamelingana na bwana Mo Dewji. Hao ndo wabongo walioweza kushika namba wengine wote chali Cheki list yote hapa
1
2
3
4
5

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad