Kikosi cha Manchester
United jana kiliingiwa na wasiwasi mkubwa baada ya ndege iliyokuwa
imeibeba timu kulazimika kusitisha kutua uwanjani, mita 400 tu kutoka
njia ya kutulia kwenye uwanja wa ndege wa mjini Cologne, Ujerumani
uitwao Konrad Adenauer.
Rubani wa ndege alilazimika kuirudisha tena angani ndege ya hiyo,
Monarch Airlines A321 baada ya ndege nyingine kuwa mbele yake kwenye
runway. Ndege hiyo iliuzunguka uwanja na kutua tena dakika 10 baadaye.
Baada ya tukio hilo, Rio Ferdinand aliandika’Landed in Germany….just….I’ve only just recovered after that choppy landing!
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment