.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

YALIYOMKUTA DIAMOND PLATINUMZ, YAMKUTA MSANII STL TOKA KENYA... UNAJUA NI NINI??...........SOMA HAPA

stl
Kile kilichomkuta msanii diamond hapa tz baada ya ngoma yake ku-leak kwenye media bila ya permission yake yeye mwenyewe,kitu hicho hicho kimemtokea msanii wa “haba haba” kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama Stela Mwangi aka STL.
Bila ya idhini yake msanii huyo anayehiti  hapa east Africa na dunia kwa nyimbo kali kama “haba haba” ,yalimkuta pale ngoma yake iliyo-leak katika media ijulikanayo kama”Kudinyana” ngoma yenye mashairi makali na yasiyofaa kwa maadili  jamii especially jamii ya ki-africa,nakufanya fans wake wamjie juu kwa kutopenda alichoimba katika track hiyo.
FAMILY
Baada ya kushtukia tukio hilo “haba haba”singer huyo aliamua ku-apologise kwa fans wake kupitia mtandao wakijamii wa twitter na kusema kwamba halikuwa lengo lake kwa nyimbo hiyo kuwa release kwa public na pia hakumaanisha kile alichokiimba kwenye track hiyo,hata hivyo baadhi ya mashabiki they don’t buy the apologise na kufanya aweze kupoteza image yake iliyojengwa kwa baadhi yamashabiki wake ingawa some fans waliamini nakumsamehe.
PB_001
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad