.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hii Ndio Taadhari Iliyotolewa Na Kampuni Ya Porsche Kuhusu Gari Iliyosababisha Kifo Cha Paul Walker Na Roger Rodas

Kampuni inayomiliki gari za Porsche ilitoa taadhari kwa maduka yanayouza gari aina ya Porsche Carrera GT kuwa sio gari ya kawaida na haitakiwi kuendeshwa na dereva wakawaida tu. Taadhari hio inaendelea kusema
kuwa Carrera GT ni gari iliyotengenezwa na kiwango cha karibu sana na gari za mashindani so inamadharana inahitaji uangalifu unaoipa gari ya mashindano ikiwa barabarani.

Taadhari hii imetumwa kwenye maduka yote kutoka Makao Makuu Ya Porsche  toka mwaka 2004 siku chahce kabla ya Carrera GT Kuingia sokoni.


Taadhari hii pia inamwambia dereva kuhusu barabara ya kupita wakati unatumi gari hiii. Report iko hapa.

Kutoka kwa repoti hii hakuja saidia uchunguzi wa sababu ya ajali hii baada ya kuona kuwa barabara waliyotumia ilikuwa barabara bora sana kama barabara zingine kwenye mitaa hio na kuwa Roger alikuwa dereva mzuri sana na mpaka sasa polici hawajasema chanzo cha ajali isipokuwa kasi tu ya gari hio ndio imesababisha vifo vya watu hawa wawili. Sammisago.com itakufahamisha habari mpya kuhusu hii story.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad