wimbo WALE WALE
msanii KALA JEREMIAH ft NAY LEE
intro yOOOOOH MORNING MORNING MORNING 0444
ubeti 1
rEST IN PEACE KAWAWA KARUME BABA NYERERE
MLIPANDA MAHINDI SASA VIPI HAWA NGEDERE
WAMESHIBA TUNA NJAA
HAWAIJUI SHIDA YA MTAA
WAMEKULA KILA KITU WAKAJIBANZA JUU YA PAA
LEO TWIGA ANAPANDA NDEGE MMANG'ATI ANAPUNGA MKONO
NIKISEMA NO! NI NANI ATANIUNGA MKONO
KIPIGO CHA DAKTARI SIYO DAWA YA HUO MGOMO
LET ME STAY CONCIOUS USINIZIBE MDOMO
DAMU YA MWANGOSI INAGEUKA PROMO
INAWAFUATA MPAKA UANI MNAKOPAKI HIZO LIMO
MPIGA KURA MMEMBANA KAMA MJUSI CHINI YA MLANGO.
MWANAFUNZI ANARUDISHWA KISA HELA YA MCHANGO
BABA HANA HATA MIA ANADAIWA HELA YA PANGO
DAILY UGALI NA BAMIA MAMA AKISHAUZA MATANGO
NDO LIFE YA KIBONGO TAJIRI MPE BIA MASIKINI GONGO
kiitikio
mASIKINI WALE WALE MATAJIRI WALE WALE
MASIKINI YEEEEEEEEAH MATAJIRI OOOOOOOWAH
MASIKINI (tupooooooo)
MATAJIRI (tupo)
MASIKINI YEEEEEEH MATAJIRI OOOOOOOOWAH
ubeti wa 2
mASIKINI WALE WALE MATAJIRI WALE WALE
WAGONJWA WANAONGEZEKA BADO WODI ZILE ZILE
SEWA HAJI ILE ILE
WAGONJWA WANALAZWA KORIDONI PALE PALE
WAMEVUNJIKA MIGUU MIKONO VILE VILE
DEREVA WA BODA BODA NIPELEKE POLE POLE
MAANA YANATISHA NILIYOYAONA KULE
UTANDAWAZI UMEWACHANGANYA WATOTO WA SHULE
WHATSAPP FACEBOOK BBM VILE VILE
WAZUNGU WAMETURUDISHIA UJINGA WA KISASA
BROTHER UZA SMARTPHONE FUGA KUKU WA KISASA
OBAMA SI URUDI TENA BARABARA ZIPIGWE MSASA hahahahaha
TANZANIA YANGU TANZANIA YANGU NAKUPENDA NAKUPENDA SANA NCHI YANGU
SEMA TANZANIA YANGU OOOH.TANZANIA YANGU OOOH TANZANIA NAKUPENDA SANA NCHI YANGU
rudia kiitikio
ubeti wa 3
uSILIE MAMA YO KWANZA FUTA CHOZI NJOO
SHIKA JEMBE UKALIME JAPO PEMBEJEO NO
ULE MTAJI WA MKAA. UMESHAFILISIKA
NA MKOPO ULIOKOPA BADO HAUJAULIPA
MVUA ZA MASIKA.ZIMESHAKATIKA
NA MAZAO YOTE TAYARI YASHANYAUKA
KINACHOFUATA NI NJAA. DHIKI NA BALAA
UKAHABA UKABAJI NDIZO NDOTO ZA MITAA
TUNA DHAHABU TOKA BARA
GESI TOKA MTWARA
TUNA MAZIWA TUNA MITO NGORONGORO NA MANYARA
KILIMANJARO MLIMA WA BARA
ALMASI TANZANITE DA! AISE HUU NI U..........
WALIMU WAMEKONDA KWA UDOGO WA MSHAHARA
WANAFUNZI WANAFELI KWA UBOVU WA MITAALA
MADAWA YA KULEVYA NCHI YETU NDIYO GHALA?
HUU WIMBO WAKIULIZA WAAMBIENI AMEIMBA KALA.

0 comments :
Post a Comment