.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyompokea Zitto Kabwe

DSC_0333
Leo Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe  amehutubia wananchi wake wa Kigoma kwa mara ya kwanza mkoani hapa tangu avuliwe nyadhifa zake zote ndani ya chama chake cha Chadema.
zito13
Zitto alifika kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma saa tatu asubuhi na kufuatiwa na maandamano yaliyoanzia ofisi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kwenda kusaini kisha yakaendelea mpaka  kijijini kwao Mwandiga mchana wa leo na kufuatiwa na mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi wa eneo hilo wakiwa wamebeba Mabango mbalimbali.
zito12
Miongoni mwa  mabango hayo yaliyokuwa yamebebwa na waandamanaji hao kuna yaliyosomeka Zitto Kama Nyerere, Zitto kama Mandela Kasoro Jela, Zitto rais wetu 2015,waha siyo nguruwe,karibu mwamba wa siasa,Zitto kama Nyerere,Mandela wa Tanzania karibu Kigoma na mengine mengi.
zito10
Akihutubia mamia ya wananchi waliokusanyika kwenye uwanja Mwandiga Zitto alisema mwaka  2006  wananchi wa Kigoma mlifanya tena maandamano na mapokezi kama haya  mlipokuwa mnanipokea baada ya kusimamishwa ubunge na wana CCM nilipokuwa natetea maslahi ya wananchi, safari hii hali hii imetokea kutokana na changamoto nilizonazo kwenye chama changu.
DSC_0230
“Kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali anasema mimi nimekataa kuhojiwa na kamati yake wakati ukweli ni kuwa nilikutana nao kama mara nne,hadi kuna kipindi walikuja kunihoji kipindi nko kwenye kambi ya mafunzo ya Jkt najua wanafanya hivi kwa sababu kwa sasa hivi suala la fedha zilizofichwa nje ya nchi zimeshikwa na watu hatari,’
zito18

zito17

DSC_0230

DSC_0333

v

zito8

zito14

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad