.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MADAKTARI WAFUNGUKA KUHUSU HALI YA Micheal Schumacher's


Habari iliotufikia BlOG YA VIJANA ni kwamba Baada ya Madaktari kuhangaika siku ya Jumapili kumtibia bingwa huyu wa kuendesha magari Duniani ambae alipelekwa hospitalini akiwa hoi.... basi Usiku wa kuamkia Jumatatu Micheal Schumacher's amepigwa X-Ray na madaktari wamefunguka nakusema kwamba "hali yake ni bora ukilinganisha na jana, lakini bado hajatoka kwenye hali mbaya."

Mshindi huyo wa mara saba kwenye mashindano yanayojulikana kama Formula 1 Jumapili Asubuhi alipatwa na Ajali baada ya kuumia kwenye kichwa vibaya sana wakati alipokua akicheza mchezo wa kutereza kwenye barafu kwenye Alps za kifaransa


Michael Schumacher (file image) 
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad