.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

UNAJUA ALICHOKISEMA XAVI KUHUSU MESSI NA SHINDANO LA MCHEZAJI BORA WA MWAKA HUU

 Xavi speaking at a press conference
Siku ya Jumapili, Kiungo wa Barcelona ya Hispania Xavi Hernandez alienda Dubai kwenda kuchukua tuzo yake ubora wake (tuzo hufahamika kama Career Award) Wakati anahojiwa huko Dubai na waandishi wa habri alikua akimpa sifa nyingi sana Mchezaji Bora wa Dunia mara nne mfululizo Lionell Messi na pia aliweza kuelezea timu yake ya Barcelona ilivyopata mshituko baada ya aliekua kocha wake Tito Vilanova kujiuzuru baada ya kupata ugonjwa wakati wa majari ya joto huko Hispania...

Xavi aliulizwa kuhusu Messi na tuzo za mwaka huu za mchezaji bora wa Dunia zinazofahamika kama (Ballon d'Or). Xavi alikua na haya yakusema "Cristiano Ronaldo and Ribery wote wamefanya makubwa na wana haki ya kupata tuzo hio ya mchezaji bora wa dunia, lakini kwa upande wangu mchezaji bora wa dunia na alishakua bora duniani ni Messi, bia hata ya kusita." ... Xavi sio mmoja ya wanaopiga kura lakini alidhirisha  kama angepewa chance ya kupiga kula angempigia kula nani achukue Tuzo hio mwaka huu kati ya Messi, Ronaldo na Ribery.

Pia aliongealea sana kuhusu wakati mgumu waliopitia na Kocha wake wa zamani aliejihudhulu kwenye majira ya joto Tito Vilanova
"ugonjwa wake ulituogopesha ikatupidi tujiunge mara mbili kama timu" alisema Xavi


Xavi pia aliongelea kuhusu La Masia ambayo ni Academy ya Barcelona "mimi ni mwanafunzi wa La Masia ambapo wanakufundisha kumaliza na pia kujielewa. Wanafundisha sana kuwa mchezaji mzuri wa mpira, pia wanafundisha kuheshimu ambayo ni kitu muhimu wanacho fundisha kuliko kuwaza ushindi

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad