.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MWILI WA KISAKA WAAGWA HOSPITALI YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAA DESEMBA 26/2013




 Mdogo wake marehem Ben Kisaka  flana nyekundu akiwasiliana na watu waliomsindikiza kuaga katika eneo la hospitali ya muhimbili jijini Dar es salaam.Hapa ni kabla ya kuuaga mwili watu wakiwasili eneo hilo.

 Mwili  wa marehem James Kisaka ukipelekwa kanisani kusomewa misa ya kuuaga

 Wakati wa kusaliwa sala ya kuaga

 Ndugu wa marehem wakiomboleza baada ya kuwasili kanisani
 Wakati wa kuaga

 Ndugu wa marehem Ben Kisaka akiwapa utaratibu wa kuingia kanisani kwa ajili ya kuuaga mwili watu waliokuwa nje ya kanisa hilo

 Wakati wa kuuaga mwili
Wasanii mbali mbali kama anavyoonekana JB nguo ya kijani wakiuaga mwili kanisani hapo Muhimbili





Doto Mokili Mchezaji wa zamani wa Yanga na Pan African.

Mchezaji wa zamani wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi Father.

Muandishi maarufu Asha wa Jambo Leo.

Mchezaji wa zamani wa Simba na Pan African Gebo Peter Tino.


Kocha zamani wa Simba Julio Kiwhelo.




Kaka wa Marehemu Ben Kisaka Mkurugenzi wa Jambo Leo Concepts.




Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad