Mdogo wake marehem Ben Kisaka flana
nyekundu akiwasiliana na watu waliomsindikiza kuaga katika eneo la
hospitali ya muhimbili jijini Dar es salaam.Hapa ni kabla ya kuuaga
mwili watu wakiwasili eneo hilo.
Mwili wa marehem James Kisaka ukipelekwa kanisani kusomewa misa ya kuuaga
Wakati wa kusaliwa sala ya kuaga
Ndugu wa marehem wakiomboleza baada ya kuwasili kanisani
Wakati wa kuaga
Ndugu wa marehem Ben Kisaka akiwapa utaratibu wa kuingia kanisani kwa ajili ya kuuaga mwili watu waliokuwa nje ya kanisa hilo
Wakati wa kuuaga mwili
![]() |
| Doto Mokili Mchezaji wa zamani wa Yanga na Pan African. |
![]() |
| Mchezaji wa zamani wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi Father. |
![]() |
| Muandishi maarufu Asha wa Jambo Leo. |
![]() |
| Mchezaji wa zamani wa Simba na Pan African Gebo Peter Tino. |
![]() |
| Kocha zamani wa Simba Julio Kiwhelo. |
![]() |
| Kaka wa Marehemu Ben Kisaka Mkurugenzi wa Jambo Leo Concepts. |















No comments:
Post a Comment