Msanii Machachari wa Bongo Movies Nisha Jabu Amesema yeye Akiachana na Mwanaume hana Desturi ya Kujipendekeza kwake hata kama yeye ndio kasababisha waachanne..Amesema Kuna Usemi usemao Wapenzi hawaachani lakini kwako huo usemi si lolote kwake kwani yeye akishaachana ndio basi tena hata mwanaume ajie anatambaaa na magoti.....
NISHA "SIMRUDII MWANAUME NILIYE "DO" NAYE"
Msanii Machachari wa Bongo Movies Nisha Jabu Amesema yeye Akiachana na Mwanaume hana Desturi ya Kujipendekeza kwake hata kama yeye ndio kasababisha waachanne..Amesema Kuna Usemi usemao Wapenzi hawaachani lakini kwako huo usemi si lolote kwake kwani yeye akishaachana ndio basi tena hata mwanaume ajie anatambaaa na magoti.....

0 comments :
Post a Comment