
Ilianza na Huddah wa Kenya na sasa ni Irene Uwoya wa Tanzania. Jamani
huyu dada alipost hii picha Instagram ya mkaka wa watu ambaye bado yuko
hai na kunadika ujumbe kama mnavyo uona hapo juu. Kiufupi ni kwamba
Irene alijichanganya na kudhani huyo Vin Diesel ndo amefariki au sijui
alidhani ndo Paul Walker hahahaha.
Basi bi dada baada ya hapo watu wakaanza kumshambulia sababu ya
kukurupuka na habari amabazo hata hazijui. Baada ya muda Irene akagundua
kosa lake na kuitoa hiyo picha lakini haikuishia hapo Irene akaamua
akapost picha mnyao iona hapo chini nakuandika ujumbe chini yake ambao
pia umeacha fans wake wakiendelea kumshambulia.

Hizi ndo baadhi ya comments za fans bada ya kupostmessage hiyo hapo juu.
xabecassie#instamakavu
zizu936gmailcomUna akili ht makosa yko huyajui ujielew kabisa dhana ya mwnye akili ni zaidi ata ya akili ya mjinga pumnv wee
drcarinyo120Fickooof....malaya am done.......
drcarinyo120I mean fuck off... de michael am out.. ..nitibue utakavyo......am done with her...
zarajamaWw @ireneuwoyaonepieceintown kwa
kweli I have seen your movies and lets me tell you, Irene my dear you
don't know how to act kabisa, iam actress too hapa Denmark I know what I
see one. I have big respect marehemu kanumba and wema aunty and many
more
jackson49511Pole dadang hzo ni changamoto na zkupe fursa ya kusonga mbele!
iambethadenHata
km ni mtu wak wa karib hukupaswa kuweka picha yk wkt msg ni kumtakia
kifo chema mtu mwngine....ulibugi we kubal tu,omba msamah...umeona sasa
watu wanamwandika vby mpk mwanao......kua dada
chaliiyasowetoHuyu @mollelreachmenwakimasai acha 2chafulia sifa wana kaskaz ha2saport Mapongo cc
bongosuperHiiii umeitoaaa kwakwa yani kufa afe sharo rip apewe majuto masunuraa
careniiiiBwahahahah @minalkher_ meona huyu kishumundu alichopost ni shidaaa @jacqueben upo wap?
careniiii@ireneuwoyaonepieceintown hihihiiiii poyeeeee bora kupewa akil na cyo limwil likubwa
jacquebenHahaha uwiiiiiii iiii mbavu zangu huhuh.. @careniiii
careniiiiKatisheeeee @jacqueben
jacquebenMetisherrrrrrr ....norma sanaaaaaaa....huhu...
careniiiiNoumaaaaa sanaaaaa
minalkher_Memnanga Jana, @careniiii @jacqueben
mollelreachmenwakimasai@chaliiyasoweto.
We. Umekosa kazi mama ako anateseka kushika nyama na mapaja unaleta
utukunyeema sowetoo ipi we unaijua wewe. Unataka kuona watu wamechafukwa
na roooo heee acha uka haba nafagilia toa uteejaa pumbavu vunja iyooo.
Pua weewe chuga nyie wakuja tu hapa unataka ulete umangaaa ntakutoa
kishipa soweto soweto sasa iv enz za kina ,,,kck,na ucngzi nusu ya kifo
wewe mulize big atakuambia me ni nani wee chunga ntakupga shaba ya macho
wewe
Watu wote huwa tunakosea binafsi
sijaona kosa la watu waliomkosoa baada ya yeye kupost habari zisizo na
ukweli. Irene angetakiwa tu kucalm down na kuapologise mambo yangekuwa
sawa na siyo kusema watu wanamchukia.


0 comments :
Post a Comment