.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

PICHA ZAIDI YA 60 ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Rais Jakaya Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jakaya Kikwete, akiwa na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange, akiwapungia wananchi wakati akiwasili Uwanja wa Uhuru katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange, kukagua gwaride, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange, kukagua gwaride, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo.
 
 
 
 
 Rais Jakaya Kikwete, akipoke heshima kutoka kwa vikosi vya ulinzi, wakati wa maadhimisho hayo. Wa pili kulia ni Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wa pili kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies na kulia ni Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.
 
 
 
 
 
Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kikitoa heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete.
Kikosi cha Polisi wanawake, kikiongozwa na Inspekta Latifah Chicco, kikipita kutoa heshima mbele ya Rais Jakaya Kikwete.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati wa maadhimisho hayo.
 
 
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad