.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

USICHOKIJUA KUHUSU MAAJABU YA MANDELA

 
MOJA YA KITU AMBACHO KIMECHUNGUZWA NA KUFATILIWA NI KWAMBA SIKU MUHIMU ZA NELSON MANDELA NI LAZIMA ZIAMBATANE NA MVUA AMABAYO NI KITU KIMOJA CHA AJABU KWA RAISI HUYU WA ZAMANI WA SOUTH AFRIKA AMABE AMETANGUIA MBELE YA HAKI.......
KITU HICHO CHA AJABU NI KWAMBA SIKU AMBAYO NELSON MANDELA AMETOLEWA GEREZANI MVUA ILINYESHA...... , PIA SIKU AMBAYO NELSON MANDELA ALIKUA ANAAPISHWA KUWA RAISI MVUA ILINYESHA ............NA PIA LEO SIKU YA MEMORIAL YAKE MVUA IMENYESHA HICHO NDO KITU CHA AJABU CHA NELSON MANDELA R.I.P NELSON MANDELA THE FATHER OF THE NATION.....
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad