LIMETANGAZWA NA BALOZI SEFUE KATIBU OFISI YA RAIS COMING TO YOU LIVE FROM IKULU
- Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu.
- Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi.
- Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Taitus D Kaman..
- Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Saada Mkuya Salimu
- Waziri wa Afya Seif Selemani Rashidi
Kebwe ni Waziri Mdogo Afya
Mhagama Waziri Mdogo elimu
Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama
Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo
Waziri Mdogo Telele Mifugo
Waziri Mdogo Ardhi Simbachawene
Waziri Mdogo wa Maji Makala
Kilimo Waziri Mdogo Godfrey Zambi
Habari Waziri Mdogo Juma Mkamia
Mali Asilia Utalii Nyalandu + Mgimwa waziri mdogo
Waziri Mdogo Madini Kitwanga
- Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- Naibu Kilimo - Zambi
- Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene
0 comments :
Post a Comment