MSANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu
kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa
hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.
Gazeti la Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii
huyo ambaye yupo ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha
aliugua gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa.
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.


0 comments :
Post a Comment