Wednesday, 1 January 2014

MCHEZA SHOW MAARUFU BONGO AWATAJA WANAOONGOZA KWA KUAMBUKIZA WANAWAKE UKIMWI BONGO.. SOMA HAPA UWAJUE


MCHEZA SHOO MAARUFU AKILI UKIMWI KUWATEKETEZA, ASEMA MAPEDESHEE WENGI MJINI WAMEARHIRIKA GONJWA HILO NOMA DUNIANI..!





HII ni hatari. Wakati ugonjwa wa Ukimwi ukielezwa kuwa bado hauna tiba, mcheza shoo maarufu katika bendi za muziki wa dansi nchini, Titi Mwinyi ameibuka na kudai kuwa wasichana hao wana wakati mgumu kukwepa vishawishi kutoka kwa watu wenye fedha, maarufu kama Mapedeshee. Akaongezea na kusema Mapedeshe wengi hapa bongo ndio wanaongoza kwa kuwa na gonjwa la ukimwi na wamekua wakitongoza wanawake ili kuwaambukiza gonjwa hilo ambalo halina shida

No comments:

Post a Comment