Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
(kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba
(wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada zake,wakati Mh
Lowassa alipokwenda kumpa pole Mzee Makamba aliepatwa na msiba wa kufiwa
na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya
Korogwe,Mkoani Tanga jana.
.JPG)
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
(katikati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia,Mh. January Makamba
wakati wa mazungumzo yao. Mh Lowassa aliitembelea Familia ya Mzee
Makamba kwa kumpa pole kwa kupatwa na msiba wa kufiwa na mama yake
mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe, Mkoani Tanga
jana.
0 comments :
Post a Comment