Kiungo Mshambuliaji wa Arsenal aliumia katika mchezo wao na Tottenham na kulazimika kutoka nje ya uwanja kutokana na maumivu makali....
Madaktari wao mshugulikia Mchezaji huyo wametoa taarifa na kusema kwamba mchezaji huyo atafanyiwa upasuaji baada ya kupata matatizo kwenye misuli na upasuaji huo utafanyika jijini London hivi karibuni
Kutokana na kufanyiwa upasuaji huo Theo Wallcott atalazimika kukaa nje ya Uwanja kwa Takribani Miezi 6 na hio kumfanya kukosa michezo iliobaki ya Ligi io na pia uwezekano wa kukosa Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Brazil katika kipindi cha Joto .....
Wachezaji na Mashabiki waTimu io wanamuombe apone haraka na kurudi uwanjani
0 comments :
Post a Comment