.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Angalia ujanja walioutumia majangili kusafirishia pembe za ndovu

1Story hii ilitoka February 15 ambayo ilitolewa na Jeshi la Polisi Mtwara kuhusu kukamatwa kwa watu watatu ambao walikuwa wakisafirisha pembe za ndovu zenye thamani ya Milion 700,kutoka Mtwara kuja Dar es salaam,walikamatwa  alfajiri ya February 14 saa 11 katika kijiji cha Chungu kata ya Nanyumbu, tarafa ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara.
3
Millardayo.com imepata picha za Gari hiyo aina ya Toyota Land Cruiser,jinsi jamaa walivyotoboa hapo nyuma sehemu ya kukaa abiria,watuhumiwa hao walikua na jumla ya meno 58 yenye uzito wa jumla ya kilo 130.6 waliyapakiza kwenye gari aina ya  Toyota Land cruiser T208 AGC.
Hizi ndizo picha za Gari hiyo.
4
5
6
7
10
8
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad