MSanii wa Bongo Fleva Linex Sunday Mjeda, Amejikuta katika wakati Mgumu
baada ya Taarifa zisizokuwa za Ukweli Kusambaa katika Blog Mbalimbali za
Hapa Bongo.
Takriban Wiki Mbili zilizopita Blog Nyingi ziliandika Kuwa Linex
anamahusiano ya Kimapenzi na Video Quen Anaejulikana Kwa Jina la Agnes
Masogange..
Taarifa hizo zilienezwa baada ya Linex Na Masogange Kupiga picha wakiwa Pamoja.
"Daaah Uzushi ulioenezwa na baadhi ya blog miyeyusho umesababisha
Umenitofautisha na familia yangu ndugu jamaa na marafiki wish kama Mungu
awafunue ndugu jamaa marafiki washabiki wangu waujue ukweli bado
naendelea kupokea cm nyingi za maswali japo nilishaongea b4 kwamba sina
mahusiano na Masogange daaaaah." Alisema Linex
0 comments :
Post a Comment