Baada
ya ngoma yake ya Kabinti Spesho ya Staa wa Bongo Fleva,Dully Sykes
kufungiwa na serikali kutopingwa kwenye vituo vya televisheni,kutokana
na kutokuwa na maadili ya Kitanzania,amesema amekata tamaa ya kuwa
msanii wa Kimataifa kutokanana kitendo hicho kumvunja moyo.Kwa
mujibu wa msanii huyo amesema hiyo imetokana na serikali kupitia
mamlaka ya mawasiliano TCRA kutoa onyo kwa vituo vya televisheni
zisiipige video hiyo kutokana na kuvunja maadili hasa maandishi yaliyopo
kwenye t-shirt aliyovaa msanii Diamond Platinumz, pili ni ile swimming
costume aliyovaa video queen.
Video nyingine zilizopigwa stop ni pamoja na Uzuri Wako ya Jux, na Nimevurugwa ya Snura
Video nyingine zilizopigwa stop ni pamoja na Uzuri Wako ya Jux, na Nimevurugwa ya Snura
0 comments :
Post a Comment