Diamond akiwa na Victoria Kimani |
Video ya wimbo wa pamoja ya wasanii zaidi ya 20 wa Afrika, imefanyika jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kwenye studio za M1 zinazomilikiwa na shirika la SABC. Katika wimbo huo ambao unasimamiwa na One Campaign kupitia mradi wake mpya wa ‘Go Agric’, Tanzania inawakilishwa na AY na Diamond...
Wasanii hao wakiwa studio kushoot video hiyo Wasanii wengine kwenye mradi huo ni pamoja na D’Banj na Femi Kuti wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya na wengine. |
Victoria Kimani |
0 comments :
Post a Comment