Ndege iliyokuwa imetekwa
Rubani msaidizi wa ndege ya abiria ya shirika la ndege la Ethiopia ndiye aliyeiteka nyara.
Maafisa mini Geneva wanasema kuwa naibu huyo wa rubani alichukua usukani wa ndege hiyo rubani wake alipokwenda msalani kwa haja.
Tukio hilo inaripotiwa kutokea ndege hiyo aina ya Boeing 767-300 ilipokuwa ikipaa katika anga ya Sudan.
Rubani
huyo msaidizi alibadili mkondo wa ndege hiyo iliyokuwa ikielekea Rome
Italia ,na kuipaa hadi Uswisi alipoitua katika uwanja wa ndege wa
Geneva.
0 comments :
Post a Comment