Mkongwe wa Bongo Flava, Juma Nature amemshirikisha Binti Commando aka Anaconda ‘Lady Jay Dee’ kwenye wimbo wake alioupa jina la ‘Kama Jana’.
Wakali hawa wameuzungumzia muziki wa Bongo Flava wa sasa ulivyo na kutoa maoni kuwa ni bora wasanii wafanye kama zamani (kama jana).
Ukiusikiliza wimbo huu kwenye verse ya Juma Nature utagundua kitu…endelea.
0 comments :
Post a Comment