Majani akiwa kwenye kaburi la Ngwair
Producer wa Bongo Records, P-Funk Majani wiki hii amelitembelea kaburi la Ngwair mjini Morogoro.
Mtayarishaji
huyo wa muziki alikuwa anatokea bungeni Dodoma ambako alienda pamoja na
watu wengine kuhimiza kutambulika rasmi kwa shughuli za sanaa kwenye
katiba mpya ya Tanzania.
“Visit Ngwair’s grave on my way back from Dodoma, it was very emotional,” aliandika Majani jana. |
.
.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment