.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BABY MADAHA ANASWA LIVE NA CLEMENT(BWANA WAZAMANI WA WEMA SEPETU)


MSANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alinaswa nyumbani kwa kigogo anayetoka na Wema, Clement.Kwa mujibu wa chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo staa huyo wa filamu na muziki alionekana akiingia kwa usafiri wa teksi nyumbani kwa kigogo huyo anayeishi maeneo ya Mwananyamala-Gereji, Dar.
Baada ya kujiridhisha na maelezo ya sosi huyo, mapaparazi wetu walimtafuta Baby Madaha ili kujua ukweli wa jambo hilo.
“Kweli nilikwenda hapo (kwa Clement), mimi sijui kama niliyeenda kuonana naye ni bwana wa Wema kwa sababu sijawahi kumuona naye na nilimfuata kwa ajili ya kuzungumza mambo ya kikazi,” alisema Baby Madaha
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad