.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

NEWZZZ...OOPS..LICHA YA MANENO MACHAFU, STARLISHA "CHAGGA BARBIE" ARUDISHA MAJESHI KWA PREZZO...JIONEE KAULI YAKE HAPA...!

Pamoja na matusi yote ambayo alishambuliwa na kudhalilishwa Msanii Prezzo na mpenzi wake Starlisha Tillya al-maarufu CHAGGA BARBIE  still ule msemo wa wagombanao ndio wapatanao ulishika nafasi yake baada ya mwanadada wa Kitanzania
ambaye anaishi Marekani ameshindwa kumsahau mfalme mswati Prezzo nakuamua kupost picha ambayo aliandika na maneno kadhaa ambayo yalidhihilisha kuwa wamerudiana kama inavyoonekana hapo chini katika picha; 

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad