Manager mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Mkubwa Said Fella ameonekana kuchukizwa na kitendo cha PNC Kupiga magoti na kuomba msamaha ilikurudishwa kwenye lebel ya Mtanashati na mmiliki wake Ostaz Juma Wa Musoma.
Said Fella aliandika Hivi Instagram.
“Sijaielewa hii picha wadau hivi nikweli tz au nje ya nchi shino na meneja wake wa mziki huu wa bongo frevar jamani mnao hitaji kujifunza umeneja naomba mnitafute niwafundishe busara kuusu mziki kweli vijana wetu (wasanii)kuna mda wanazingua lakini tusitumie nguvu ya mifuko yetu kudhalilisha wenzetu milango nimeiacha wazi mje mjifunze”
Kupitia Facebookpage ya sammisago ambayo ni www.facebook.com/sammisago2 pia watu wameonekana kukerwa na picha za PNC Kuonekana akipiga goti kwa Ostaz Juma.
0 comments :
Post a Comment