Monday, 24 March 2014

ALICHOKISEMA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU YEYE KUPATA MTOTO

diamondplatnumzLeo tulikuwa tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na
bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado??

No comments:

Post a Comment