Dk Kingwangwala anusurika kufa kwa risasi
kupitia
ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika kuuawa muda si
mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na bahati yako
nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele yangu amepigwa
risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana wamenilinda
kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha. Siwezi
kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi na
niliapa kuwatetea..."
No comments:
Post a Comment