Monday, 10 March 2014

ANGALIA MAGOLI YA AL AHLY VS YANGA SC ILIOCHEZWA MARCH 9 HUKO CAIRO

Screen Shot 2014-03-10 at 1.42.19 PM
Tazama mikwaju ya penati zote kati ya Al Ahly vs Yanga katika mechi iliyochezwa jana huko Alexandria Misri ambapo Al Ahly walichukua ushindi kwa njia ya matuta baada ya dakika kuisha wakiwa wanaongoza 1-0.

No comments:

Post a Comment