"Wazazi wangu ni matajiri" Hawahitaji msaada wangu - Jacqueline Wolper
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper
amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa
hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama
ifuatavyo: “ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi
nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea
hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Aling’aka wolper
No comments:
Post a Comment