Hii ni tukio lilitokea huko nchi za wenzetu ni baada ya Mmiliki wa Mbwa huyu kuwa na taratibu ya kumkataza mbwa huyo kuto panda kitandani kwake, huwa anamkanya na mbwa huyo huwa hapandi... Ikafika kipindi ambacho Mmiliki wa Mbwa huyo alipo amua kuweka kamera nyumba nzima kwa ajili ya ulinzi wake mwenyewe, Siku hio baada ya mmiliki huyo kutoka kazini akaamua kuanza kuangalia kilichotokea nyumbani kwake pindi alipoenda kazini, ndipo alipo shuhudia mbwa huyo akicheza kitandani kwake kwa furaha baada ya mmiliki huyo kuondoka nyumbani, akiwa ana cheza kwenye kitanda hicho ambacho alikatazwa na mmiliki wake, mbwa huyo ambae anaonekana akiwa na furaha sana kitandani hapo,
JE HICHI NDO HUWA KINATOKEA PINDI MMILIKI AKITOKA NYUMBANI KWAKE.

0 comments :
Post a Comment