Filamu ya Marehe Steven Kanumba ‘Uncle
JJ’ Bado inafuatiliwa na kununuliwa na wapenzi wa filamu za Tanzania.
Hii nimekutana nayo kwenye duka moja maarufu Kariakoo kwa kusambaza
filamu za Tanzania kwa mawakala tofauti nje na ndani ya Dar es salaam.
Hizi ni filamu zenye mauzo zaidi kwa sasa kwenye maduka tofauti Tanzania.
1] Bado Natafuta – Salim Ahmed2] Danija – JB
3] Gumzo – Majuto
4] Hard Price – Ray
5] Snitch – Rammy
6] Rent House – Majuto
7] Steve Kanumba – Uncle JJ
0 comments :
Post a Comment