Ni miezi kadha imepita tangu stori ya Justin na Selena kuachana ilipo samba mitandaoni, Mashabiki wa wanamuziki hao maarufu wenye makazi nchini marekani hawakupenda kitendo hicho cha kuachana, huku kwa upande wa Justin na Selena ilionekana wazi kuwa kitendo hicho kiliwachanganya kisaikolojia, Baada ya kuachana kwao justin beiber alipatwa na kesi nyingi za kuvunja sheria nchini marekani, huku kwa upande wa Serena Gomez akiwa anafanya shoo zake huwa anatoa machozi wakati akiwa anaimba nyimbo yake ya Love will Rember ambayo ndo nyimbo inayosemekana ametungia justin beiber.
| Serena Gomez akitoa machozi wakati akiwa anaimba nyimbo yake ya LOVE WILL REMEMBER |
Takribani wiki moja sasa tangu Justin Bieber alipoweka video fupi mbili kwenye akaunti yake ya instagram, video hizo zilikua zinaonesha wakicheza na aliekua mpenzi wake ambae aligombana na sasa kuamua kurudiana, Baada ya muda tu justin beiber alifuta io video kwa kuofia mashabiki kuanza kuleta maneno...
0 comments :
Post a Comment