.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MIKE TEE NAE ALIA NA USTADH JUMA



 
Mike tee ni moja kati ya wasanii waliochangia kwa kiasi kikubwa muziki wa bongo fleva kufika hapa ulipofika.Mike aliwahi kutamba na ngoma kama,Ni beep,Sintobadilika,Nakupenda na nyingine nyingi.Mike tee aliweka wazi hisia zake juu ya Ustadhi Juma juu ya kitendo alichomfanyia msanii PNC.Mike tee alisema".
Msanii mwenzangu PNC kadhalilishwa sana na OSTADH JUMA kwenye MEDIA zote, me toka jana natafakari sana kwa mtu mzima kufanya kitendo kama kile, upande wangu nimeumia na nimeona kama mimi nimefanyiwa kitendo kile.
Sasa basi wasanii wenzangu, washabiki wetu , viongozi wa ngazi mbalimbali tunajua mambo haya yapo lakini yana kipimo, tukikaa kimya wako watakaotuvua nguo hadharani kisa sisi wasanii ambao tunadharaurika hatuna elimu hatuna kipato ila tunatumika na wachache kupata wanachotaka,
Je tufanye nini me nimeshindwa cha kufanya we need your support wenye uchungu wa muziki wetu na wasanii wa TANZANIA kwa ujumla
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad