Kwa wale wapenzi wa mchezo wa Golf ambao wengi upenda kusema ni mchezo wa watu wasafi maana hakuna kuchafuka kwenye mchezo huu.....
Mchezo huu uchezwa mchana au kwenye kiwanja chenje mwanga (Taa), Sasa imetoka aina mpya ya mipira ambayo itakua ikiwaka rangi tofauti na kuwa na uwezo wa kuonekana hata kama ukicheza kwenye giza nene....
Hii ni habari njema sana kwa wapenzi wa mchezo huu kwa maana mpira huu ukipigwa mwanga wake unapotea baada ya dadika 8 na vipira hivyo vinatumia batterty ambayo ina nguvu yakukaa kwa takribani masaa 40, kwa sasa mipira hio inauzwa shillingi 30,000 za kitanzania.
0 comments :
Post a Comment