.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

PICHA ZA JINSI ROSE NDAUKA ALIVYO KAMILISHA AHADI YAKE, ASAFISHA JIJI LA ILALA, BAADHI YA WASANII WAMUUNGA MKONO, WANANCHI NAO WAJITOKEZA


Kutokana na Takwimu iliotolewa miezi kadha iliopita kuhusu Tanzania kuwa nchi chafu huku, Dar es salaam ndo ukiwa mji uliotolewa macho kwa kuwa na uchafu mwingi sana, Kupitia kampuni yake ya Ndauka Entertainment Muigizaji Rose Ndauka ameamua kuhamasisha wananchi wa Kitanzania kuweka mazingira safi, akishirikiana na baadhi ya wasanii aliowaalika kusaidiana nae kwenye kuhamasisha wananchi kupitia Kampeni yake ya NG'ARISHA TANZANIA, Kampeni hii ilihusisha kuhusu kufagia baadhi ya mitaa katika manispaa ya ilala, kuzoa taka na kuzitupa maeneo husika au kuziteketeza huku akishirikiana na kampuni ya Green Waste Disposal.

' Huu ni mwanzo tu, tutaendelea tena, nafanya hivi kuwastua watanzania wezangu kwa jinsi gani tulivyojisahau kwenye mazingira kwani hii inaleta sifa mbaya"alisema Rose ndauka




Wafanyakazi wa Waste Disposal wakishiriki kwenye kampeni hio


Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi waliojitokeza


Rose Ndauka akifanya mahojiano na waandishi waliojitokeza

Baada ya wasanii pamoja na baadhi ya wadau



Msanii Yvonne akihojiwa na Muandishi wa Channel Ten Clement Silla

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad