Zikiwa
zimepita takribani siku nne tangu Azam FC ilipoandika historia ya
bingwa wa mpya wa ligi kuu ya Vodacom huku tetesi zikizidi kuzunguka
mitaani kwamba klabu hiyo ya jijini Dar es Salaam imekuwa ikihonga sana
wachezaji wa timu nyingine pamoja na marefa ili kujihakikishia ushindi
na hatimaye kutwaa ubingwa kabisa.
Leo
hii kupitia ukurasa wa wa Facebook, Azam FC wameposti taarifa ya kujibu
mashambulizi dhidi yao kwamba wamenunua ubingwa kwa kuandika:
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment